Kashi na 24 – Daga teburin edita

Kashi na 24 – Daga teburin edita

Suivant

Kashi na 26 – Ban-kwana da Ayhan

Wannan rana ce ta bakin ciki a ofishin Radio D. Domin kuwa Ayhan yana ban-kwana kuma zai koma kasar Turkiyya. Duk da cewa abokan aikinsa sun shirya masa walima ta ba-zata, wannan bai kwantar masa da hankali ba. Paula ta zo aiki da safe ta samu kowa yana shirye-shiryen zuwa walima ...  Afficher plus

Kashi na 25 – Tarbar jiragen ruwa

'Yan jaridar sun yi kokarin gano ma'anar kalmar "getürkt", don haka suka kai ziyara wata gabar teku, inda kowane jirgi da irin tarbar da ake yi masa.A gabar tekun Willkomm-Höft, ana tarbar kowane jirgi ne da taken kasar da yake dauke da tutarta. A wasansu na rediyo, Paula da Phil ...  Afficher plus

Épisodes Recommandés

Tukio 24 – Meza ya Mhariri
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Bundi Eulalia anawasaidia Paula na Philipp kupata mwelekeo. Wanagundua kuwa wafanyikazi wenzao wa gazeti la Hamburg wanahusika kwenye ulaghai huo. Paula, Philipp na Eulalia wanagundua kuwa wafanyikazi wa gazeti la Hamburg walitunga njama yote ya kuweko papa katika bandari ili wap ...  Afficher plus

Tukio 23 – Pezi la Papa
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Paula na Philipp wanategua kitendawili cha mahali pa kwenda kumwangalia papa na kwa mara nyingine tena wanagundua ulaghai uliohusika. Hata hivyo mwanzoni sababu za tukio hilo si dhahiri moja kwa moja. Wakiwa katika harakati za kumtafuta mwanamichezo wa kuteleza baharini aliyetowe ...  Afficher plus

Tukio 09 – Muziki wa Ludwig
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Philipp pia anapata fununu ya kumtambua mgeni. Anaona tangazo gazetini la onyesho la muziki kumhusu Mfalme Ludwig. Akiwa njiani kwenda kwenye ukumbi, anawahoji watalii wanaozuru kutoka maeneo yote ulimwenguni. Huku Paula akiwa afisini mwake Berlin, Philipp naye anahangaika huku n ...  Afficher plus

Tukio 26 – Kumuaga Ayhan
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hali ya huzuni imetanda katika afisi za Radio D. Ayhan anawaaga wenzake na anarudi nchini Uturuki. Ingawa wafanyikazi wenzake wamemwandalia hafla ya kumuaga, hawana la kuchangamkia. Paula anafika kazini asubuhi na kuwapata watu wote wakijitayarisha kwa sherehe. Hafurahii sherehe ...  Afficher plus