Mission Berlin 08 – Kumaliza udhia

Mission Berlin 08 – Kumaliza udhia

‏التالي

Mission Berlin 26 – Jaribio la Wakati

Anna anapowasili mwaka 2006, anamwambia Paul inawabidi kuukwamisha mtambo. Lakini wanahitaji alama ya siri. Anna anaufuata muziki na mwanamke mwenye mavazi mekundu anawasili. Je atamzuia Anna kutimiza lengo lake? Anna amerejea mwaka 2006 na anamwonyesha Paul ufunguo wenye kutu un ...  عرض المزيد

Mission Berlin 25 – Vurugu

Muda unayoyoma na Anna anamuaga Paul kabla ya kurejea tarehe 9 Novemba mwaka 2006. Atakapowasili atakuwa amebakiwa na dakika tano pekee. Je zitatosha? Huku zikiwa zimesalia dakika chache Anna akamilishe jukumu lake, mchezaji anamshauri kutumia fursa ya zogo lililopo kuondoka pole ...  عرض المزيد

‏حلقات موصى بها

Tukio 26 – Kumuaga Ayhan
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Hali ya huzuni imetanda katika afisi za Radio D. Ayhan anawaaga wenzake na anarudi nchini Uturuki. Ingawa wafanyikazi wenzake wamemwandalia hafla ya kumuaga, hawana la kuchangamkia. Paula anafika kazini asubuhi na kuwapata watu wote wakijitayarisha kwa sherehe. Hafurahii sherehe ...  عرض المزيد

Tukio 09 – Muziki wa Ludwig
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Philipp pia anapata fununu ya kumtambua mgeni. Anaona tangazo gazetini la onyesho la muziki kumhusu Mfalme Ludwig. Akiwa njiani kwenda kwenye ukumbi, anawahoji watalii wanaozuru kutoka maeneo yote ulimwenguni. Huku Paula akiwa afisini mwake Berlin, Philipp naye anahangaika huku n ...  عرض المزيد

Kashi na 26 – Ban-kwana da Ayhan
Shirin Radio D zango na 1 | Koyon Jamusanci | Deutsche Welle

Wannan rana ce ta bakin ciki a ofishin Radio D. Domin kuwa Ayhan yana ban-kwana kuma zai koma kasar Turkiyya. Duk da cewa abokan aikinsa sun shirya masa walima ta ba-zata, wannan bai kwantar masa da hankali ba. Paula ta zo aiki da safe ta samu kowa yana shirye-shiryen zuwa walima ...  عرض المزيد

Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Waandishi habari hao wanajitahidi kuelewa kauli "getürkt" na wanazuru bandari isiyo ya kawaida ambako kila meli hukaribishwa kwa namna ya kipekee.Katika Bandari ya Willkomm-Höft kila meli hukaribishwa kwa wimbo wa taifa la nchi inakotoka. Kwenye mchezo wao wa redio, Paula na Phil ...  عرض المزيد