Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza K...

Release Date

All Episodes

Mission Berlin 26 – Jaribio la Wakati

Anna anapowasili mwaka 2006, anamwambia Paul inawabidi kuukwamisha mtambo. Lakini wanahitaji alama ya siri. Anna anaufuata muziki na mwanamke mwenye mavazi mekundu anawasili. Je atamzuia Anna kutimiza lengo lake? Anna amerejea mwaka 2006 na anamwonyesha Paul ufunguo wenye kutu un ...  Show more

Mission Berlin 25 – Vurugu

Muda unayoyoma na Anna anamuaga Paul kabla ya kurejea tarehe 9 Novemba mwaka 2006. Atakapowasili atakuwa amebakiwa na dakika tano pekee. Je zitatosha? Huku zikiwa zimesalia dakika chache Anna akamilishe jukumu lake, mchezaji anamshauri kutumia fursa ya zogo lililopo kuondoka pole ...  Show more

Mission Berlin 24 – Saa inayopiga

Anna analipata kasha la chuma lililofichwa katika mwaka 1961 lakini hawezi kulifungua kwa kuwa limechakaa. Anapofanikiwa kulifungua anapata ufunguo wa zamani. Je huo ndio ufunguo wa ufumbuzi wa siri? Muda unayoyoma na Anna ni lazima afungue kasha la chuma. Lakini mchezaji anamtah ...  Show more

Mission Berlin 23 – Tutaonana baadaye

Anna anadandia skuta ili afike barabara ya Bernauer. Mhisani wake ni Emre Ogur anayemtakia ufanisi mjini Berlin. Lakini atahitaji nini zaidi kumkimbia mwanamke mwenye mavazi mekundu ili apate kasha la chuma lililofichwa? Mchezaji anamwambia Anna kutafuta usafiri wa kwenda barabar ...  Show more

Mission Berlin 22 – Endelea

Anna anapelekwa mwaka 1989 na anafika katika jiji ambalo lina kizaazaa cha kuanguka Ukuta. Anahitajika kupitia umati mkubwa wa watu ili apate kasha la chuma lililofichwa. Je atafanikiwa? Anna anapotaka kuondoka kuelekea mwaka 1989, waendesha pikipiki wanajitokeza. Mwanamke mwenye ...  Show more