Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Ki...

Release Date

All Episodes

Somo 26 – Tunataka tuwe pamoja tu

Mwimbaji mashuhuri – na wimbo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya 

Somo 25 – Kwanza natumaini kupata kazi ndogo ndogo

Dr. Thürmann anamfahamisha Andreas mradi wake mpya... Muhtasari wa sarufi: vitendo: 1. vinavyokwenda na mashamirisho na 2. vinavyofuatwa na vihusishi 

Somo 24 – Wafu hawafi milele

Andreas na Ex wanawazuru watu mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya 

Somo 23 – Hospitali mashuhuri Charité

Dr. Thürmann anasimulia hadithi ya jengo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vivumishi vya sifa (II) 

Somo 22 – Berlin Alexanderplatz (Uwanja wa Alexander)

Barua kwa wazazi wa Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho (declension) wa vivumishi vya sifa (I)