Shinikizo la Damu wakati wa Ujauzito

Shinikizo la Damu wakati wa Ujauzito

Tatizo la kutokwa Uchafu ukeni.

Je unapenda kujua ni aina gani ya Uchafu ni hatari na ipi ni kawaida. Sikiliza Kipindi hiki kuweza kujifunza mambo haya. Usiache kuwashirikisha wengine.  

Fahamu Safari ya Ujauzito

Jifunze maandalizi ya Ujauzito, nini cha kufanya wakati wa Ujauzito na Yapi ya kutegemea.  

Fahamu Kuhusu Hedhi!

Jifunze kuhusu hedhi ni nini na mambo mbalimbali yahusianayo na hedhi!  

Fahamu Tatizo La Mgongo Wazi na Vichwa Vikubwa kwa Watoto!

Jifunze nini cha kufanya kupunguza uwezekano wa kujifungua mtoto mwenye tatizo la mgongo wazi au kichwa kikubwa!  

Afya Ya Ubongo

Jua ya muhimu ili kutunza Afya ya Ubongo.  

Tatizo la Kutapika Damu na Kutokwa Damu kwenye Njia ya Haja Kubwa!

Wikendi Salama Episode 1  

Tatizo La Kufa Wakati Wa Tendo La Ndoa - Dr. Kalegamye, MD.

Siri za Afya Bora Episode I.  

Asante Kwa Msimu Wa Kwanza.

Nawashukuru sana kwa kunifuatilia kwenye Msimu wa kwanza! Kuanzia Mosi Februari 2021 Msimu wa Pili ulioboreshwa utaanza rasmi. Usikosee, Endelea kushirikisha watu mbalimbali. #AfyaTalk #Tanzania  

Afya Talk EP08: Upungufu/Ukosefu wa Nguvu za Kiume!

Mara baada ya kuzungumza kuhusu Shinikizo la Damu na Kisukari, leo tunaanza kuzungumza baadhi ya madhara. Tunaanza kwa kutazama ukosefu/upungufu wa Nguvu za Kiume. #AfyaTalk #DaktariMtalii #Tanzania  

Afya Talk EP07: Kisukari III

Leo nahitimisha mada juu ya kisukari kwa kuangazia hasa vyakula na visababishi vya Ugonjwa wa kisukari. #AfyaTalk #DaktarMtalii #Tanzania  

Afya Talk EP06: Kisukari II

Sehemu ya Leo tunaendelea na mada ya kisukari. Karibu na endelea kujifunza nami. #DaktariMtalii #AfyaTalk #Tanzania  

Afya Talk EP05: Kisukari I

Karibu tuanze mada ya Ugonjwa wa Kisukari. Sehemu Hii ya kwanza inaheleza kuhusu maana ya kisukari, dalili na upimaji wake. Usiache kushirikisha wengine. #DaktariMtalii #Tanzania #AfyaTalk  

Afya Talk: Siku ya UKIMWI Duniani 2020

Kipindi Maalumu kifupi kuhusu Ugonjwa wa UKIMWI! SIkiliza ujifunze haya machache. Hakikisha unapima Afya yako sasa! Vijana Tujilinde, UKIMWI UPO - Usichukulie Poa.  

Afya Talk EP04: Shinikizo la Damu ‘Recap’

Sehemu ya leo ni majumuisho kwa ufupi kuhusu shinikizo la damu tukiangazia maana, upimajia, dalili, hatari na namna ya kujilinda. Asante tuendelee kushirikisha kuhusu Afya Talk.  

Afya Talk EP03: Shinikizo la Damu III

Leo tunaangazia madhara ya Shinikizo la Damu pamoja na Njia za kufanya kujilinda na Shinikizo la Damu.  

Afya Talk EP02: Shinikizo La Damu II

Baada ya kuzungumza kuhusu nini maana ya Shinikizo la Damu na Dalili zake, Karibu sehemu ya pili ujifunze kuhusu vyanzo, namna ya kugundulika na usomaji awali wa kipimo cha msukumo wa Damu.  

Afya Talk EP 01: Shinikizo La Damu I

Karibu sehemu ya kwanza ya Afya Talk inayooanza na mada ya Shinikizo la Damu. Leo tumetazama ni nini maana ya Shinikizo la Damu na Dalili zake ni zipi!  

Afya Talk (Trailer)
Weekly Motivation by Ben Lionel Scott
TED Talks Daily
The Mindset Mentor
Anything Goes with Emma Chamberlain
E
Stories Of The Soul Podcast
أبونا داود لمعي
VIEWS with David Dobrik & Jason Nash
E
The No Good Podcast
On Purpose with Jay Shetty